Pages

August 18, 2011

Simba watwaaa ngao ya jamiii

 Ngao ya Jamiii
Kikosi cha Simba

Kikosi cha Yanga

Timu ya Simba ya jiji jana ilifanikiwa kulipiza kisasi kwa maasimimu wao Yanga na kufakikiwa kutwaa Ngao ya jamiii katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar kwa kuwafunga mabao mawili yaliyofungwa na Haruna Moshi na Felix Sunzu. 

Picha kwa hisani ya mdau!

No comments:

Post a Comment