Pages

August 25, 2011

News Alert! Kikwete amrejesha likizo Jairo........



Akijibu swali la Mh Freeman Mbowe kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani, wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa hapo, Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema kuwa tayari Rais ameshachukua hatua ya kumsimamisha kazi (kumrejesha likizo ya malipo) Katibu Mkuu, Nishati na Madini Ndugu David Jairo wakati huu ambao kamati teule ya bunge (inaundwa) inafanya uchunguzi.









source tbc 1

No comments:

Post a Comment