Pages

August 30, 2011

Marian Schools Fundraising Dinner

Uongozi wa Shule za Marian Bagamoyo unawakaribisha wote kwenye Fundraising Dinner hii ili kuchangisha fedha ya Kujenga na kuendeleza Shule hizi.

Mgeni Rasmi atakuwa Mhe. Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba

Wazazi,wanafunzi wa zamani,wenyeji wa Bagamoyo na wote wale wenye Mapenzi mema mnakaribishwa sana sana tarehe 4th SEPT Diamond Jubilee Hall saa Moja jioni.

Asanteni!


No comments:

Post a Comment