Pages

August 11, 2011

Kuuliza si ujinga jamani!!

Wahenga walisemaga "kuuliza si ujinga na aulizaye anataka kujua" kwa siku kadhaa nimekuwa naona tangazo hili magazeti, nimelisoma, nikajaribu kulielewa lakini sijafanikiwa, sijui labda wadau au Stanibic wenyewe mweweza nielewesha mimi na labda wenzangu ambao hawaelielewa kama mimi. 
Ukweli ni kuwa najua ama nasikiaga serikali imepewa mkopo, msaada nk, lakini sikumbuki kuona tangazo lolote, labda ndo zama za uwazi na ukweli au utandawazi ndo unavyotaka!! sijui. 

No comments:

Post a Comment