Pages

August 24, 2011

Jairo apokewa kishujaa




Mapokezi ya Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini David Jairo mara baada ya kuamriwa kurejea kazini baada tuhuma zilizokuwa zimetolewa dhidi yake bungeni kushindwa kuthibitika.

Picha kwa hisani ya wizara.  

No comments:

Post a Comment