Pages
▼
July 9, 2011
Success Day in A town
Mhadhiri wa UDOM na mumewe Esther na Selestin wakitoa ushuhuda jinsi gani wamefanikiwa kupitia biashara ya mtandao ya FLP,
Mzee Baltazari toka Usa River akitoa ushuhuda jinsi gani Aloe Vera Gel imemponya na ugonjwa wa kisukari ambao alikuwa nao kwa muda mrefu na kujaribu kila gharama kubwa katika tiba bila mafanikio, Mzee huyu anamshukuru binti yake ambaye ndiye aliyemshauri kuhusu bidhaa hiyo.
FLP Success Day huwa ni siku muhimu sana kwa Network Marketers wote pitia kampuni hiyo kusherehekea mafamikio ikiwa ni pamoja kutambua rasmi waliopanda ngazi za mafanikio, huwa siku ya furaha na vicheko ambapo waweza kaa bila kujua muda umeendaje,
This time ilikuwa zamu ya Mkoa wa Arusha, shughuri imefanyika katika ukumbi wa AICC ukumbi wa Simba, imeshuhudia wanamtandao kadhaa wakitambuliwa kama Supervisors, Assistant Managers, Managers, Soaring Managers, Eagle Managers NK.
No comments:
Post a Comment