Pages

July 26, 2011

Buriani Mwakiteleko

Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mhariri Daniel Mwakiteleko kuelekea safari yake ya mwisho kijijini kwake Ndala, Mwakaleli katika Wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya, hii ni safari ya mwisho, mke na watoto hawatakuona tena, Ndugu jamaa na marafiki nao hawatakuona tena, pia wahariri wenzio na woote hawatakuona tena.
Woote tulikupenda sana, hasa mke na watoto, lakini Bwana amekupenda zaidi, Jina la Bwana na lihimidiwe.
Ulale salama Danny. 



picha kwa hisani ya Francis Godwin.

No comments:

Post a Comment