Pages

July 21, 2011

breaking Nyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuzi! Jairo apewa Likizo ya MALIPO

Habari zilizotufikia punde ni kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Madini na Nishati David Jairo amepewa likizo ya malipo kupisha uchunguzi kuhusiana na tuhuma za kuchangisha pesa ili kuonga wabunge kupitisha bajeti ya wizara hiyo.

Katibu Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo amekaririwa na TBC wakti akiongea na waandishi wa habari hivi punde.



Katuni na Said Michael

No comments:

Post a Comment