huyu ataka gari la Milion200 na huyu auwawa kwa deni la sh 500/- ni Bongo hapahapa
Nawaza kwa sauti!
Wakati Mtukufu, Mh sana Meya wetu anadai (wanadai) kununuliwa mashangingi ya bei mbaya Millioni 200/- kwa kodi zetu pia wapo watanzania wengi wanapoteza maisha kwa vitu ambavyo uwezi amini (kama deni la 500/-) kuwa ni nchi moja haya yanatokea,
Waheshimiwa, Watukufu watawala wetu wanatamani ufahali katikati ya lindi la ufukara linalotuzungukuka? Je wanadai ufahali huu toka katika mapato gani? je ni kweli tuna ziada ya fedha kiasi hiki katika Halmashauri zetu ata tufikie kuwapa pepo watawala wetu? Je huduma za jamii zikoje? shule zetu ziko katika hali gani? Hospitali na miundombinu vikoje?
No comments:
Post a Comment