Yawezekana ni harusi ya gharama kuliko zote kwa karne hii, pound million 20 (zidisha mara 2600 au zaidi upate za madafu) zinatarajiwa kutumika.
ikiwa gauni la Bi harusi litagharimu steering pound 600, 000/,
Keki 80, 000,
Ulinzi pound 7.4million,
Je harusi yako iligharimu kiasi gani??
isome HAPA
No comments:
Post a Comment