Taarifa ya Makonda haishangazi. Kuibuliwa kwa Ufisadi (grand corruption)wa Rostam na madhara yaliyosababishwa kwa watanzania ni lazima umtie hofu jamaa huyu na kusababbisha ahamishe jamaa zake. Vijana Wazalendo kama Makonda wasibabaike, watanzania wote wako nyuma yao na wala huu si ubaguzi wa rangi. Sasa UVCCM wanamchagua wakala wa Rostam Bashe (ambaye ni msomali) eti atafiti mataztizo ya ufisadi ndani ya CCM! Wana akili timamu hawa kweli?

ReplyDeletepaul una kiherehere waga,hivi we ni usalama wa taifa nin unasoma muccobs miaka mingapi,vip ushaoa,pinguza sifa za kijinga
ReplyDelete