Niliwahi kuja hapo, ila sikuingia katika jengo la makumbusho. Hapo nje niliona tangazo linalozuia kupiga picha. Sasa je, inaruhusiwa kugusa vitu vilivyomo ndani? Au kunakuwaga na vibali maalum? Sikupata muda hapo kiasi cha kufuatilia masuali haya.

ReplyDelete