Pages

April 5, 2011

Another white elephant?

Hili jengo sijui kazi yake ni nini, kwani waliojengewa ama kudhaniwa wanajengewa wanaliogopa au pengine linawaogopa, waliojaribu kulisogelea ni wale wa eneo la chini kabisa ambao ni wachache sana, weni wao wako katika maeneo yaliyopaswa kuwa wazi au bustani lakini juu hakuendeki, hakukaliki, hakuuziki.

No comments:

Post a Comment