Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, akiagana na Msaidizi wa Makamu wa Rais Bw. Agostin Ngonyani pamoja na Viongozi wa Serikali kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam leo, alipokuwa akielekea Nchini Ufaransa na Ivory Cost. Kushoto Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal.
Picha naVPO.
Miezi mitatu iliyopita alikuwa nafanya kampeni. Uchaguzi umekwisha badala ya kusoma maripoti na kukaa chin, sasa mara Mauritania, Congo, Ufaransa, Ivori Costi, Je matakwa ya watanzania anayafahamu?
ReplyDelete