Pages

March 16, 2011

Ati hazina hizi sio yetu!

Photo essay hii ya Allan Cedillo Lissner imenivutia sana, lakini zaidi imeniachia maswali mengi kuliko majibu.
Je ni kweli hazina hizi tulizojariwa na Mwenyezi Mungu hapa Tanzania sio zetu? ikiwa ndivyo MUNGU alikuwa na sababu gani kuziweka kwetu? Mungu alishindwaje kuwapa hao wanaodhani ni zao? maswali ni mengi na sijui wapi nitapata majibu.
Jisomee, ukihitaji article nzima ktk pdf nijuze, wasalam.

No comments:

Post a Comment