Crew Nzima ya Star Television wakiwa katika picha ya pamoja pembeni mwa OB Van yao ya kurushia laivu Shoo nzima ya Vodacom Miss Tanzania 2010 kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo.
Ni mrembo yupi kuibuka kudedea? tusubiri tuone hapo usiku wa manane leo.
Asante mdau Full shangwe kwa photo.
No comments:
Post a Comment