Pages

August 2, 2010

Kura za maoni ni kitimtim,

Vituko, vimbwanga, na hata kupigana vimeonekana kutawala kura za maoni ndani ya CCM na ata kufikia kuairishwa kwa baadhi ya maeneo, Vyombo mbalimbali nchini vimeripoti mapungufu haya kwa namna yake lakini pia na matoleo kwa baadhi ya sehemu huku yakionesha vigogo kadhaa kupigwa mweleka, DAILY NEWS ( Irregularities mar CCM pollsIrregularities mar CCM polls), habarileo ( Uchaguzi CCM wavurugika) Mwanachi (Malecela, Karamagi,Selelii, Chiligati hoi, SITTA, KILLANGO,MWAKYEMBE JANUARY, NCHIMBI WANG'ARA), The Guardian ( Delays and irregularities affect voting exercise), Nipashe (Kura maoni CCM Vigogo wangoka), Tanzania Daima (KURA ZA MAONI: Moto wawaka CCM • Mchuano wa ubunge watoa matokeo magumu)

No comments:

Post a Comment