Pages

August 7, 2010

Afisi ya Makamu ktk Nanenane Dom

Ofisa Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Bw Faraja Ngerageza akitoa maelezo Kuhusu umuhimu wa Kuhifadhi Mazingira kwa Bi Helena Chumo na Bi Elizabeti Kaduma Katika Maadhimisho ya Nane Nane yanayoendelea Dodoma

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi Ruth Mollel akipata Maelezo toka kwa Mjasiriamali wa Mtandao wa Mazingira Dodoma Wanaofadhiliwa na [NEMC} Bw Amandus Chitopela kuhusu aina ya Mvinyo utokanayo na Mauwa ya Choya wakati wa Maonyesho ya Nane nane yanayoendelea Dodoma [picha na Ali Meja}

No comments:

Post a Comment