Pages

July 26, 2010

Tom and Jenny book kibongobongo kipo madukani

Nimepata ujumbe toka kwa wadau wa baseline wakitaka kuwajuza wadau juu ya comic book ya Tom and Jenny ambayo sasa yapatikana madukani.
Salaam Kutoka Dar es Salaam,
Habari za kazi na pole mwa mihangaiko.
Naomba msaada wa kuweka HABARI inayohusu kitabu chetu cha sanaa cha comic kinachoitwa TOM & JENNY IN TANZANIA ambacho kiko attached kwenye email hii kwenye format ya GIF. Tutashukuru sana kama utaki-post kitabu chetu ambacho kilikuwa kinasubiriwa kwa muda mrefu, ili wasomaji wa blog yako wajue kwamba sasa kitabu kimetoka na wanaweza kukipata jijini Dar es salaam na vilevile tunaweza kuwatumia wasomaji walio nje ya Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla.
Natanguliza shukrani zetu za dhati, na hongera kwa kazi nzuri yenye ubunifu wa hali ya juu.
Joe
Baseline Afrika - Tanzania.

No comments:

Post a Comment