Pages

June 26, 2010

Wadau niko Ukweni

Niko na Babu Yohana Msungu ama Mzee wa Kijiji, ananionyesha mitaa ya kijiji cha Image,
Ni kipindi cha mavuno, yaani ni ugali kwa kwenda mbele pamoja na jogoo,
Wadau nawaonea huruma majogoo walioanguka kwa siku kadhaa nilizokaa huku pamoja na maboga, asali mbichi, mtindi wa kumwaga na mapochopocho usipime yaaaani.

2 comments:

  1. Anonymous6:21 PM GMT+3

    mzee umenitamanisha sana baada ya kutaja list ya menu ya bush yaani ni raha sana

    ReplyDelete
  2. eehhh jamani ndio nini kututamanisha hivyo.....yaani nimejikuta nasema kwa sauti yaani we acha tu....

    ReplyDelete