Pages

June 7, 2010

Mpiganaji Athumani Hamis atoa shukurani

Mpiganaji Athman Hamis akitoa shukurani zake leo kwenye ukumbi wa Idara ya habari Maelezo kwa watu mbalimbali waliomsaidia na wanaoendelea kumsaidia katika matatizo yake mara baada ya kupata ajali mwaka juzi.
Athman akiongozana na muuguzi wake toka Netcare Rehabilitation hospital ya afrika kusini Faith Nhlapo, amemshukuru Rais Jakaya Kikwete, serikali, madaktari wa Muhimbiri na Afrika Kusinipamoja na watu mbalimbali kwa misaada ya khali na mali toka kupata ajali.
kwa hisani ya Full Shangwe

No comments:

Post a Comment