Pages

June 21, 2010

Mikumi under fire!!!

Mikumi National Park under fire!
Hii ni jana mchana tunapita Mikumi tunakutana na moto sehemu kubwa ya mbuga ni moto tu,
Sijui mamlaka zinasemaje juu ya hili, wanyama twawafukuza au ni aje?

1 comment:

  1. Hii ishakuwa kawaida kwa mbuga hii kuwashwa moto na wajinga wachache kila mwaka wakati wa kipindi cha kiangazi kama hivi

    ReplyDelete