Pages

June 18, 2010

Mambo ya USWAZI ndani ya KEMPINSKI

Leo nilipata mlo wa mchana hapa Kempinski zamani Kilimanjaro Hotel, mlo uliandaliwa kizaramo yani mpaka samvu la chole lilikuwepo, kachumbali pamoja vipepeo hivyo cjui vyaitwaje vile, aaah it was delicious.

No comments:

Post a Comment