Pages

June 17, 2010

Itakuwaje Mgombea Binafsi akiruhusiwa Leo?

Najaribu kufikiri kwa sauti, itakuwa vipi iwapo Mahakama ya Rufaa leo hii itapitisha ama kuruhusu mgombea binafsi ataruhusiwa?
Mi sijui itakuwaje maana uchaguzi ndo huo mwezi wa Oktoba na vyama vimeanza mchakato wa kutafuta wagombea.
Mi nawaza tu.

1 comment:

  1. MAHAKAMA HINA UBAVU WA KUKATAA AMRI YA SERIKALI YA KUZUIA MGOMBEA BINAFI KWANI WAO HULA KIAPO KWA RAISI NA PIA NI WAGOMBEA WATARAJIWA KUPITIA CCM; HIVYO MGOMBEA BINAFSI HATAKUWEPO.

    ReplyDelete