Sio kama ndo naamka wadau, hapan hii ni baada ya kukata kipande korofi cha kiasi cha KM 60 maaarufu kama Somanga ktk barabara ya kuelekea kusini, twaambiwa tuna bahati maana hatukulala njiani, yasemekana watu wamalizaga wiki kukata kipande hiki,
Mwanzo wa shughuri ni pale unapomaliza daraja la Mkapa.
No comments:
Post a Comment