Mkuu wa Huduma na Bidhaa wa kampuni ya simu za mikononi ya Zantel Bw. Brian Karokola (kushoto) na Meneja Masoko William Mpinga wakizindua Ofa mpya ya huduma ya simu za mkononi na mezani kwa gharama nafuu iitwayo "Gumzo”, kwa lengo la kupunguza gharama za kupiga simu kwa wafanyabiashara wadogowadogo na matumizi ya nyumbani.
No comments:
Post a Comment