
Waziri wa Nishati William Ngeleja na Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Boble Fellowship Zakary Kakobe wakipitia nyaraka kabla askofu huyo kuridhia Tanesco kupitisha umeme maeneo ya kanisa hilo na kumaliza utata na mgomo wa takribani miezi miwili ambapo waumini wa kanisa hilo waliamua kukesha usiku na mchana ili kuzuia uwekaji nguzo na kupitisha umeme.
No comments:
Post a Comment