
Hii ni risiti ya Pingu alizonunua Jery Muro huko Mzinga Shop Morogoro, kulingana na maelezo ya awali kwamba hakuna raia anaruhusiwa kumiliki pingu (bastola, mabobu, mizinga na mabunduki ruksa) isipokuwa polisi tu kwa maelezo kuwa ndo wanaomtia mtu nguvuni, wakti wangine watumia hizo ata kwenye malavidavi, Je Mamlaka nyingine hazina taarifa hii?
Hakina natamani ningeona mwisho wa picha alafu ndo liendelee, ka kuna mtu ana rimoti afowadi hii movi kwanza tuone mwisho afu arejeshe ndo twangalie taratiiiibu.
No comments:
Post a Comment