Pages

February 5, 2010

Ni lazima kwa Makampuni ya simu kujiunga DSE.

Bunge limepitisha muswada wa mawasiliano ambao utafanya kuwa lazima kwa makampuni yote ya simu kujisajiri soko la hisa la Dar DSE.

No comments:

Post a Comment