Pages

January 19, 2010

Mshidi wa fyatua choo huyu hapa

Kwa kipindi fulani hivi kilichopita kulikuwa na shindano hapa Bongo lililoitwa FYATUA CHOO USHINDE, leo ndio limefikia tamati kwa kupatikana mshindi Bi Fatuma Ally kutoka Dodoma ambapo alikabidhiwa zawadi na Waziri wa Afya Prof D avid Mwakyusa, Lengo la shindano hili ilikuwa kuamasisha umuhimu wa matumizi ya choo,
Sijui watani zangu kule Ukerewe wangeleta picha gani ya choo maana mambo ya wanamalizia ziwani hadi leo hii.

No comments:

Post a Comment