Pages

December 7, 2009

Sherehe za miaka 10 ya Nile Basin zaanza rasmi Dar

Makamu wa Rais Dk.Ali Mohamed Shein akiwa ktk picha ya pamoja na mawaziri wa maji wa Bonde la Mto Nile mara baada ya kufungua mkutano wa siku tatu wa Nchi Shiriki za Bonde la Mto Nile (Nile Basin Initiative) ulioambatana na sherehe za kutimia miaka 10 tokea kuundwa kwa Ushirika huo, mkutano huo utakaojadili juu ya mafanikio yaliyopatikana tokea kuanzishwa kwake, changamoto pamoja na matarajio ya baadae leo katika kituo cha mikutano cha Mlimani City jijini.

No comments:

Post a Comment