Pages

November 23, 2009

Wanakijiji wanapolazimika kuomba DK 10 za Mtoto wa Mkulima

Wananchi wa Kijiji cha Mkunya wilayani Newala wakiwa wamebeba bango kubwa linalomuamba Waziri Mkuu Mizengo Pinda aliyekuwa anapita kijijini kwa akilekea kwenye kituo cha maji cha Mkunya kusimama na kuwasikiliza.

2 comments:

  1. Anonymous7:16 AM GMT+3

    KWANINI MNAPENDA KUMPAMBA PINDA KUWA NI MTOTO WA MKULIMA? NI KIONGOZI GANI KATIKA MAWAZIRI WAKUU AMBAYE ALIKUWA MTOTO WA MFANYABIASHARA MASHUHURI, MBONA WAANDISHI WA HABARI MNAPENDA KUWA NA UANDISHI WA KUJIKOMBA! VIONGOZI WETU WOTE WALITOKA KWENYE FAMILIA ZA WAKULIMA HATA HIVYO BABA YAKE PINDA NI MTUMISHI MSTAAFU.

    ReplyDelete
  2. Ndugu yangu hapo juu, nashukuru kwa mchango wako,

    Ni kweli sote au viongozi wote wawezekana ni watoto wa wakulima ama vinginevyo, lakini ni nani aliwai kutamka hadharani? sana wengine wapenda waitwe "wahishiwa" no waheshimiwa na wengine watukutu I mean watukufu, je hatunao hao?

    likini sisi hatumpambi au si jukumu la Bongo Pix kupamba awaye yote, bali jina hilo lina maana na chanzo chake, ka umesahau au pengine ukuwepo wakti lilipoanza basi nina uhakika wadau watakukumbusha, naomba mdau yeyote anayekumbuka atusaidie.

    Bongo Pix

    ReplyDelete