Mwanamichezo Elly Gerald Minja siku alipoifikisha kileleni mwa Mlima wa Kilimanjaro Bendera ya taifa katika kuhitimisha mbio za kinywaji zilizobeba kampeni ya "Fikisha Tanzania Katika Hatua ya Juu" ikishirikisha wamariadha nyota zaidi ya 70 waliokimbiza bendera kwa zaidi ya kilomita 567 kwa siku tano kuanzia Dar es Salaam hadi Marangu, Moshi mkoani Kilimanjaro.
No comments:
Post a Comment