Pages

November 23, 2009

Citi Bank wanywa uji na yatima Kigamboni

Wafanyakazi wa Benki Citi ya jijini Dar wikend hii waliamua kuitumia kwa stahili yao kwa kwenda kutembelea kituo cha yatima cha Tuamoyo huko kigamboni na kunywa nao uji kabla ya kukabidhi misaada yenye thamani ya milion 3.5 shilingi za Bongo.

1 comment:

  1. Anonymous1:49 PM GMT+3

    WATOTO HAWA WANAHITAJI MAZIWA NA SI JUISI AMBAZO HAZINA FAIDA KATIKA UKUAJI WAO; MTINDO HUU WA JUISI SI MZURI.

    ReplyDelete