Pages

August 17, 2009

Zombe na wenzie ni KICHEKOOO

Habari zilizotufikia punde ni kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania imewaachia huru ACP Abdalah Zombe na watuhumiwa wingine wote na kuwaona hawana hatia ya mauaji ya Wafanyabiashara watatu na dereva teksi waliyokuwa wakishtakiwa nayo na kudaiwa kuyatendenda mnamo Januari 14 2006.

1 comment:

  1. Anonymous7:00 AM GMT+3

    Iwapo kuna udhaifu mkubwa wa Waendesha Mashitaka katika Mahakama za Tanzania.

    Je, hukumu za watu wasiokuwa na uwezo wa kupata jopo zima la Mawakili, wanahukumiwa kihalali kweli?

    Kuna akina Babu Seya na wanawe. Kuna dereva wa basi aliyehukumiwa miaka 30 kwa sababu tairi la basi lake lilichomoka kwa bahati mbaya na kupata ajali.

    Mchezo wa Mahakama za Tanzania wa kupindisha sheria waziwazi tulianza kuuona wazi katika kesi ya Marehemu "Ditopile".

    Mchezo kama huo umechezwa tena kwa akina Zombe na kundi lake.

    Je, tutegemee nini kwa akina Mramba na wenzake??????

    This Is Black=Blackmannen

    ReplyDelete