Pages

August 5, 2009

JK azindua mradi wa maji Singida.

Rais Jakaya Kikwete akimpongeza Padre Timothy Coday wa Shirika la Damu Azizi ya Yesu la Kanisa Katoliki muda mfupi baada ya kuzindua mradi wa maji katika eneo la Mtoo, mjini Manyoni,mkoani Singida leo mchana. Padre Coday ni mfadhili mkuu wa mradi huo kwa kushirikiana na Halmashauri wa Mji wa Manyoni.Wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Singida Parseko Ole Kone na kulia nia katibu Mkuu wizara ya Maji Christopher Sayi.

No comments:

Post a Comment