Leo tena nilipata nafasi ya kuwatembelea Wadau Athuman na Mtui na kushuhudia wakifanyishwa mazoezi ya viungo pamoja na kusoma, kwa kweli Munguni mwema sana kwani wanaendelea na wanafanya vyema kwenye matitabu.
BP kwa niaba ya wadau wote twawatakia mpone haraka na mrejee Bongo mkiwa wa Afya tele ili kulijenga taifa letu.
No comments:
Post a Comment