Pages

July 17, 2009

Ushapata sikia KINA KLOTHING?

Pengine ni mimi ndo nimechelewa au pengine tuko wengi lakini nimekutana na hii kitu sina budi kutokuwa mchoyo na kukushirikisha nawe mdau juu ya ubunifu huu, kwa kweli wamenivutia sana hawa jamaa wa Kina Klothing.
zaidi tembelea duka lao mtandaoni hapa

No comments:

Post a Comment