Moja ya kivutio ktk maonesho ya 33 ya Bongo ya Kimataifa ilikuwa ni simba weupe wenye umri wa miezi 5 ktk banda la wizara ya maliasiri na utalii, simba hawa ambao asili yao ni Bondeni kwa Mzee Madiba ni wapole na wamezoea watu wamekuwa kivutio hata watu kupiga nao picha.
Hiyo sasa kali, hapana hii ni mara ya kwanza kuona simba mweupe.
ReplyDeleteDu, nilifikiri ni simba albino au machotara!!
ReplyDelete