Pages

July 21, 2009

Seacom Fibre Optic kuzinduliwa rasmi Keshokutwa.

Mkonga wa Mawasiliano kupitia chini ya bahari unaotaraijiwa kuziunganisha nchi za Africa na kote duniani kwa Gharama "nafuu sana" utzinduliwa rasmi na Mh JK siku ya Alhamisi Trh 23 yaani kesho kutwa.
Kuzinduliwa na kuanza rasmi kwa mkonga huu au SEACOM FIBRE OPTIC CABLE kunatafsiriwa kuwa kutarahisisha sana gharama za mawasiliano yakiwamo ya simu na mtandao kwa asilimia zisizopungua 80%.

No comments:

Post a Comment