ishangai kwa yeye kupotea kwani alijipoteza mwenyewe katika harakati za kujitafuta. Saida anajua kuwa alikuwa nyota na aligusa wengi wakati akishiriki katika muziki wa asili na ndipo kilipokuwa kipaji chake, lakini akaamua "kufuata upepo" na kujiingiza kwenye mitindo mingine ya miziki ambayo haikuwa katika upeo wa utunzi na ubunifu wake. Ameishia kujichimbia kaburi kisanii na inasikitisha. Nimesema mara nyingi kuwa kuna haja ya wasanii kuwa walivyo na si kutaka kuwa vile ambavyo watu wengine wanataka wao wawe. She payed the price and i hope it's a learning experience. Jumapili njema Mukuru
Ni kweli Saida Kaloli kapotea kweli. Imekuwa kama coincidence ni jana tu nasi hapa nyumbani tumekuwa tumejiuliza yupo wapi huyo dada?
ReplyDeleteishangai kwa yeye kupotea kwani alijipoteza mwenyewe katika harakati za kujitafuta. Saida anajua kuwa alikuwa nyota na aligusa wengi wakati akishiriki katika muziki wa asili na ndipo kilipokuwa kipaji chake, lakini akaamua "kufuata upepo" na kujiingiza kwenye mitindo mingine ya miziki ambayo haikuwa katika upeo wa utunzi na ubunifu wake. Ameishia kujichimbia kaburi kisanii na inasikitisha.
ReplyDeleteNimesema mara nyingi kuwa kuna haja ya wasanii kuwa walivyo na si kutaka kuwa vile ambavyo watu wengine wanataka wao wawe.
She payed the price and i hope it's a learning experience.
Jumapili njema Mukuru
Watoto wa town wanasema KAFULIA au CHOKA MBAYA,
ReplyDelete