Pages

July 16, 2009

Mwai Emilio Kibaki atua Bongo

Rais wa Kenya Mwai Kibaki ametua leo Bongo kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo anatarajiwa pamoja na mambo mebgine kuwa na mazungumzo na mwenyeji wake JK huko Ikulu na kusaini makubaliano ya ushirikiano kadhaa kabla ya kuelekea Zenji kukutana na Rais wa hukoA. Karume.
Kibaki aliyeongozana na baadhi ya mawaziri wake wapatao saba hivi pamoja na wabunge kadhaa pia anatarajiwa kutembelea kiwanda cha mafuta cha Bidco leo hii na kesho kufungua rasmi jengo jipya ubalozi wa Nchi pale kona ya kuelekea Masaki ujulikanao kama Harambee Plaza.

No comments:

Post a Comment