Hatimaye ule muswada tata wa Mfuko wa Maendelea ya Jimbo, CDCF, umepita kwa kishindo kikubwa cha kihistoria ambapo ndoa rasmi ya wabunge wa CCM na Wapinzani imezaliwa kwa wote kuunga mkono hoja kwa asilimia 100 bila pingamizi lolote wala any reservation huku vijimambo vikijiri kwenye upitishaji wa mswada huo.
HABARI NDO HIYO.
Hakuna mpinzani wana mshindani, wote wanatetea matumbo yao! Wanasiasa wa Tanzania ni wanafiki wakubwa na wezi watupu! Nimeacha kupiga kura tangu 2000 na sitopiga kura tena hadi naingia kaburini, rabda mke wangu agombee uongozi ndo ntampigia yeye!
ReplyDelete