Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi ya Sinia lililotengenezwa kwa mbao kutoka kwa Mwenyekiti wa maduka ya wajasiliamali wadogo ya kuuza vinyago yaliyopo karibu na maporomoko ya Victoria katika mto Zambezi Nchini Zambia Ernest Nzala huku Mke wa Rais wa Zambia Mama Thandiwe Rupiah (kulia) akiangalia. Mama Kikwete ameambatana na mumewe Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ziara ya kiserikali ya siku tatu nchini Zambia .
No comments:
Post a Comment