Pages

June 8, 2009

Uvamizi huu wamaanisha nini?

Vurugu zimeibuka katika Kijiji cha Sing'isi wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha baada ya wananchi kuvamia shamba la Madira Estate na kuharibu mazao na mali mbalimbali zenye thamani ya mamilioni ya fedha, huku wakipambana na polisi kwa zaidi ya saa saba.
Vurugu hizo zilianza juzi saa tatu usiku ambapo wananchi zaidi ya 1,000 wakazi wa kijiji hicho wakiwa na silaha mbalimbali za jadi kama mapanga, mawe na fimbo walivamia shamba hilo ambalo pia linadaiwa limeuzwa kwa Mbunge wa Vunjo, Aloyce Kimaro....read more
Je Tanzania sasa yataka kufanana na Zimbabwe au niaje????

No comments:

Post a Comment