Pages

June 23, 2009

JK akutana na ma-CEOs wa TIGO, ZAIN na ZANTEL

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wakurugenzi watendaji wa mitandao ya simu za mikononi za Zain, Zantel na Tigo. kutoka kushoto ni bwana Nabil Tofilis wa Zantel, Pablo Guardia Vasquez wa Tigo na Khaled Muhtadi wa Zain

1 comment:

  1. Bongopix hongera kwa kazi nzuri na blog yako nzuri inaelimisha.Pia asante kwa kuni -link,sikuwa naijua blog hii ila sasa nitaitembelea mara kwa mara kuona picha mbalimbali. Asante na kazi njema

    ReplyDelete