Pages

June 9, 2009

Enzi hizoo

Enzi hizi za shule boading uwa zanikumbusha mbali saana, bondo mwaka mzima na maharage meupe, siku ukipikwa wali basi vyatafutwa lambo vyajazwa wali wahifadhiwa bwenini kwenye " KONKODI" (ka nimemwacha mtu shauri yake) huo ulikuwa waliwa hata siku kumi na "haurabiki" yaani hakuna cha kuchacha wala nini. kumbuka kwenye konkodi kuna nguo zako, madaftari vitabu na wakti mwingine poketi mane mumo humo.
Nakumbuka tulivyokuwa tukimwibia Babu Samaki perege wa sh 3 na kugawana ka mtu nne ili bondo lipite. ahh maisha ya shule noma.
Je wewe wakumbuka nini??

1 comment:

  1. Anonymous3:37 PM GMT+3

    Kaka umeniacha hoiiii... Enzi hizo ilikuwa lazima upige picha unatembea kwani ukipiga umesimama we mshamba...

    ReplyDelete