Pages

June 12, 2009

BAJETI HIZI ZIMEANDIKWA NA MMOJA??

Tanzania's Mustafa Mkulo na hapa pia Uganda's Syda Bbumba Rwanda's James Musoni Kenya's Uhuru Kenyata Uganda tena
Kuna mdau kaniuliza kama bajeti zetu zilizo somwa jana eti ni COPY and PASTE??
Anadai kuwa vitu vingi ktk bajeti za nchi hizi nne vinarandana sana kiasi cha kuzani labda walitazamiana au walipigiana chabo wakti wa kuandaa au pengine ndo EAC yenyewe inavyotakiwa iwe??
Mi sina jibu la maswali ya mdau huyu hivyo nalileta kwenu tusaidiane kutafuta majibu.
Naomba kutoa hoja.

No comments:

Post a Comment