Pages

May 28, 2009

Tujikumbushe - Idd Amin Dadaa alikuwa ajiitaje?

Wengi wetu twaweza kuwa tumesahau au hatujui kwa kuwa hatukuwai sikia mahala popote kutokana labda na umri wetu, au tu kutofuatilia yanayoendelea au yaliyokuwa yakiendelea kwa wakti uliopita, lakini huyu anaweza kuwa ni mmoja (kama si yeye pekee) ya kiongozi pekee aliyewai kujipa majina na nyadhifa nyingi tu jina.
Alikuwa akijiita “His Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, and Conqueror of the British Empire.”

2 comments:

  1. Anonymous7:39 PM GMT+3

    Yaaah the big dad

    ReplyDelete
  2. Duh, hii kali, mi nilikua jayajua hadi Dada, ila ya huko mbele kiboko!

    ReplyDelete