Pages

May 5, 2009

Tanga Kunani paleeee!!!!

Jana TSN baada ya kufungua tawi lake hapa Tanga pia walipata nafasi ya kutembelea kituo cha wazee wasiojiweza cha Mwanzange Duga jijini hapa na kuwapatia msaada kidogo wa msosi,
Wazee hao wengi wao ni wale waliokuwa vibarua ktk mashamba ya Mkonge na Chai miaka hiyo wakti Tanga ikiwa Tanga kweli kweli.

No comments:

Post a Comment